Mkuu wa Wilaya ya Njombe, SARA DUMBA, kafariki Dunia usiku huu katika hospitali ya Kibena.
 
Hadi leo saa Kumi jioni alikuwa nzima kabisa, Kwa mujibu wa Afisa Tarafa ya Njombe amesema leo jioni aliagana na DC wake akiwa nzima kabisa, Lakini ameshtushwa na Taarifa hiyo.

**Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza zipata mapema kesho.**
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: