Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa
mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya
ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na
Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea
sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii.
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akifurahi jambo na mmoja wa wateja
wa tawi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la
Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya
Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha
na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii.
 |
| Msanii wa kizazi kipya Young Dee akifurahi jambo na mmoja wa wateja wa Tigo tawi la Makumbusho baada ya kumkabidhi zawadi ya tisheti mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii . |
 |
| Wafanyakazi wa Tigo wa tawi la Makumbusho wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa kizazi kipya Young Dee akiwa mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii . |
 |
| Msanii wa kizazi kipya Young Dee akihojiwa na mwandishi Emmanuel Onyango katika Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii |
 |
| Msanii wa kizazi kipya Young Dee akitazama simu zinazouzwa katika duka la Tigo tawi la Tegeta mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii |
 |
| Wafanyakazi wa Tigo tawi la Tegeta wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa kizazi kipya Young Dee mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii . |
 |
| Msanii wa kizazi kipya Young Dee akitoa zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa tawi la Manzese simu zinazouzwa katika duka la Tigo tawi la Tegeta mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii |
 |
| Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa tawi la Manzese zawadi ya tisheti mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii. |
Toa Maoni Yako:
0 comments: