Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) na  Afisa wa Airtel kitendo cha huduma za Intaneti, Ndevonaeli Eliakimu  kwa pomoja wakionyesha bango la modemu mpya ya Airtel wingle wakati wa uzinduzi wa  modemu mpya itakayowawezesha wateja wake kufurahia huduma za Intaneti na Wi-Fi kwa pamoja na kuunganisha zaidi  ya vifaa 10 kwa wakati mmoja.
Meneja Uhusiano wa Airtel  Jackson Mmbando (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa  modemu mpya
itakayowawezesha wateja wake kufurahia huduma za Intaneti na Wi-Fi kwa  pamoja na kuunganisha zaidi  ya vifaa 10 kwa wakati mmoja. Akishuhudia ni Afisa wa Airtel kitendo cha huduma za Intaneti, Ndevonaeli Eliakimu.
 Afisa wa Airtel kitendo cha huduma za Intaneti, Ndevonaeli Eliakimu akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa  modemu mpya itakayowawezesha wateja wake kufurahia huduma za Intaneti na Wi-Fi kwa pamoja na kuunganisha zaidi  ya vifaa 10 kwa wakati mmoja.
Mwandishi wa habari wa Star TV, Grace Semfuko akikabithiwa modemu yake ya Airtel  Wingle na Afisa wa Airtel kitendo cha huduma za Intaneti, Ndevonaeli Eliakimu mara ya kuibuka mshindi katika raffle  iliyoendeshwa wakati wa uzinduzi. akishuhudia ni Meneja Uhusiano wa Airtel  Jackson Mmbando.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: