Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, kuelekea Uchaguzi mkuu. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Mabalozi wa Amani, Mrisho Mpoto na Christina Shusho.
 Balozi wa Amani, Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi katika kikao kilicho fanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: