Timu ya kampuni ya Tigo ikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo wenye lengo la uhusiano bora wa makampuni.
Mtanange ukiendelea...
Mchezaji wa Tigo akionyesha makeke yake ya kusakata kabumbu.
Wachezaji wa Kampuni ya Tigo na Caspian wakichuana kwenye mpambano mkali jana viwanja vya Chuo cha Ardhi.
Toa Maoni Yako:
0 comments: