Mkuu wa mkoa wa Njombe Dr Rehema Nchimbi kulia akiwa na Deo Filikunjombe mgombea ubunge jimbo la Ludewa na mbunge aliyemaliza muda wake katikati kushoto ni msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi leo wakati wa mazishi ya Mchungaji Mtikila.
Mchungaji Patrick Mgaya aliyekuwa safari moja na marehemu Mtikila wa pili kulia akiwa katika mazishi hayo.
Waombolezaji wakiwa msibani.
Filikunjombe akitoa salamu zake wakati wa mazishi ya Mtikila
Wananchi wakimsikiliza Filikunjombe.
Filikunjombe akiwasili msibani kwa chopa
Jaji Francis Mutungi kushoto Bw MGaya na Askofu Mtetemela na Filikunjombe wakiwa msibani
Filikunjombe akijiandaa kubeba jeneza
Mjane wa Mtikila akiweka shada la maua
Toa Maoni Yako:
0 comments: