Mkuu Kitengo wa kinywaji cha John Worker na Masoko na uboreshaji, Stanley Samtu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya udhamini wa mwanamziki huyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mwanamziki wa Uingereza, Arjun Coomeraswamy, kushoto ni Msanii Lina Sangana na Miss Tanzania 2007, Richa Adhia .
Miss Tanzania 2007, Richa Adhia akizungumza katika mkutano huo.
Mwanamziki wa Uingereza, Arjun Coomeraswamy akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)juu ya ujio na kukutana na watu mbalimbali katika Ukumbi wa Viva Tower jijini Dar es Salaam na Jumamosi atafanya shoo Zanzibar katika ukumbi wa Kendwa Rocks Beach Resort.
Msanii Linah Sanga akiongea machache.
Toa Maoni Yako:
0 comments: