Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa CCM kusimama na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, marehemu Celina Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa dharula jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 10, 2015.
 Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM mara baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula, kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam,jana Okt 10, 2015.
 Mjumbe waKamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakati wakitoka ukumbini baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula cha CCM kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, jana Okt 10, 2015.
 Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakifurahia jambo nje ya ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba, baada ya kumalizika Kikao cha dharula, jana Okt 10, 2015.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: