Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015.

Katika sehemu hii ya kipindi cha wiki hii, utasikia mahojiano yetu na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda juu ya Matembezi ya Amani yaliyoandaliwa na Ofisi yake na kufanyika wilayani humo

Pia wasikilizaji walipata fursa kumuuliza maswali na hata kutoa maoni yao juu ya kinachoendelea huko.

KARIBU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: