Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo.i uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kulia) akiteta jambo na mgombea wa jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”
 Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Kisarawe katika mkutano wa kampeni.


 Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni.
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” wakati wa mkutano wa kampenzi uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa wilayaya Bagamoyo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Majengo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: