Ngoma Africa band yenye makazi yake nchini Ujerumani na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin walivyonogesha hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora lililofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 15, 2015 ambapo Ngoma Africa band walituma CD yenye nyimbo kali mbili za kumuaga Rais Kikwete na Mama wa Mitindo alifanya onesho maalumu la mavazi ya Kiafrika.
Home
Unlabelled
NGOMA AFRICA BAND NA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS - KHAMSIN WANOGESHA HAFLA YA KONGAMANO LA DIASPORA JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: