Meneja Masoko wa Mfuko wa  LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)  akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama barabarani kanda maalum, ACP Peter Sima (kushoto), hundi ya thamani ya million tatu  walizotoa kwa ajili yakusaidia vifaa kwa ajili ya wiki ya nenda kwa usalama wanaishuhudia ni mwenyekiti wa kamati hiyo Elifadhili Mgonja (wapili kushoto) na Ofisa Masoko wa Mfuko huo, Rehema  Mkamba.
 Katibu wa Kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP),  Peter Sima, akizungumza katika mkutano huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: