Timu ya Mariado wakishangalia ubingwa kwa staili ya aina yake baada ya kuibuka mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Arusha.
Katibu wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Arusha Adam Brown akikabidhi kombe la ubingwa kwa nahodha wa timu ya Mariado Munira Goda baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: