Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi (kulia) na Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks wakionyesha bango kama ishara ya uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kulia) ni
Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks, Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi na Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty.

Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kulia) ni Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks na Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi.
Baadhi ya mawakala wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa huduma ya Timiza Mkopo kwa wakala, huduma itakayowawezesha kupata mikopo isiyo ya dhamana kupitia huduma ya Airtel Money.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: