Afisa huduma za ziada wa Airtel bwana Fabian Felician akiongea na
mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya tano ya wiki ya
promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka
mikoa ya Manyara na Bukoba walipatikana (kushoto) ni mkaguzi kutoka
bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Bakari Majid (kushoto) droo hii
imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel Moroco jijini Dar es saalam.
Afisa huduma za ziada wa Airtel, bwana Fabian Felician (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya nne ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”, Daudi Ali Kingonji, Mkazi wa Dar es Salaam, shilingi million moja, kwenye makao makuu ya Airtel, Dares salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments: