Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa
Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin
Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Anne Makinda, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, leo Juni 27, 2015 kwa ajili ya kushiriki shughuli
za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max.
Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa
Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max,
wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete,
akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa
Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max,
wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Makamu wa Dkt. Bilal, wakati
walipokuwa katika shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita,
marehemu Donald Kelvin Max, zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Bilal, Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete na baadhi ya Viongozi wakijumuika na waombolezaji katika
shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald
Kelvin Max, leo Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho
mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu
Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo
Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na
OMR
Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati
wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR












Toa Maoni Yako:
0 comments: