Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga (katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani)wakati wa kutangaza ubora wa elimu ya ufundi inayotolewa na baraza hilo.Baraza hilo limevifuta usajili vyuo vitatu na kuvishusha hadhi vyuo
kumi na sita.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mitaala wa baraza hilo Twilumba Mponzi na Msaidizi wa katibu Mtendaji Alex Nkondola.

Wakurugenzi wa Manejimenti ya NACTE wakiwa kwenye mkutano pamoja na
waandishi wa habari uliohusu kutangaza ubora wa Elimu ya ufundi
inayotolewa na baraza hilo lilitangaza kuvifutia usajili vyuo vitatu na
kuvishusha hadhi vyuo kumi na sita.

Mwandishi wa habari kutoka kituo cha EAT, Noah Laltaika akimuuliza swali Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga kwenye mkutano uliohusu kutangaza ubora wa Elimu ya ufundi
inayotolewa na baraza hilo lilitangaza kuvifutia usajili vyuo vitatu na kuvishusha hadhi vyuo kumi na sita.
---
Vyuo vilivyofutiwa usajili ni pamoja na Dar es Salaam College of Clinical Medicine cha jijini Dar es Salaam kilichokuwa kimepatiwa usajili wa awali, Ndatele School of Medical
Laboratory Sciences cha Dar-es-Salaam kilichokuwa kimepatiwa usajili wa awali na Institute for Information Technology cha jijini Dar es Salaam pia chenye namba za usajili REG/EOS/014.

Taassi/vyuo vilivyoshushwa hadhi baada ya kushindwa kutiza mashart ni pamoja na Sura Technologies – Dar es Salaam, Institute of Management and InformationTechnology – Dar es Salaam, Techno Brain - Dar es Salaam, Ministry of Agriculture Training Institute Igurusi – Mbeya, Mbozi School of Nursing – Mbeya, KCMC AMO Ophthalmology School – Moshi, KCMC AMO
Anaesthesia School – Moshi, Advanced Pediatrics Nursing KCMC – Moshi.

Vingine ni, AMO Training Centre Tanga – Tanga, CATC – Songea, CATC – Sumbawanga, COTC Maswa – Shinyanga, COTC – Musoma, Dental
Therapists Training Centre – Tanga, Ngudu School of Environmental Health
Sciences – Kwimba na KCMC AMO General School – Moshi.

Toa Maoni Yako:
0 comments: