Askari wa kampuni ya G1 Security wakimrekebisha mtuhumiwa
wizi ambaye jina lake halikupatikana  mara moja ambaye alikuwa katika harakati za kutaka kufanya uharifu  katika Jengo la PALM RESIDENCE jijini  Dar es salaam.
 Mtuhumiwa wa wizi ambaye alikusudia  kufanya uhalifu  katika Jengo la PALM RESIDENCE Jijini Dar es Salaam akitolewa nje na Askari wa kaampuni ya G1 Security.
 Mtuhumiwa wa uharifu aliyepenya na kuingia katika jengo la PALM RESIDENCE jijini Dar es Salaam akitafakari kwa kina mara baada ya kupokea kichapo.
 Askari wa kaampuni ya G1 Security wakuwa na mtuhumiwa  ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakiwa nje ya jengo  PALM RESIDENCE jijini Dar es Salaam.

Mtuhumiwa wa wizi  ambaye jina lake halikupatikana mara moja akihojiwa na Askari wa kaampuni ya G1 Security juu ya jiwe alilokuwa nalo kwenye mfuko. Picha na EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: