Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na Umoja wa Madereva Tanzania (TADWU) juu ya usajili waliopata ambao utafanya waweze kuingia mkataba wa waajiri wao na kuweza kujiunga katika mfuko wa bima ya afya uliofanyika katika Hoteli ya Rombo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja huo, Clement Masanja, kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho Abdallah Lubala.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikabidhi Katiba ya Umoja wa Madereva Tanzania (TADWU) kwa Katibu Mkuu wa Umoja huo Abdallah Lubala katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Rombo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya madereva wakifurahia kupata umoja huo utakaoweka
wazi juu ya ajira ya kazi zao katika katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya
Rombo jijini Dar es Salaam.
wazi juu ya ajira ya kazi zao katika katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya
Rombo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiagana na madereva katika Hoteli ya Rombo jijini Dar es Salaam.
( PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.)
( PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.)


Toa Maoni Yako:
0 comments: