Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu. Zaidi ya wapinzani 50 walijiunga papo hapo.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo
 Komredi Kinana akipokea kadiu kutoka kwa aliyekuwa mwananchama wa ACT -MZALENDO
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachilu akikabidhi magwanda ya Chadema kwa Komredi Kinana baada ya kutangaza kuachana na chama hicho na kuamua kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Mji wa Kisesa, Magu. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Komredi Kinana akionesha kadi za vyama mbalimbali vya upinzanik baada ya kuzipokea
 Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Kwimba, Pendo Machilu (kulia) akimvisha sare ya CCMaliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Juliana
 Kadi mbalimbali za upinzani zilizotolewa na waliokuwa upinzani baada ya kujiunga CCM LEO
 Gervas akipongezwa na Mchumi wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mansoor baada ya kujiunga CCM kutoka ACT Mzalendo
 Komredi Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mgesa Mulongo wakifungulia maji kwenye bomba  walipokagua Dip ya Maji.
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akielezea jinsi alivyoitikia agizo la Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana la kuwataka Mamlaka ya Mapato Tanzania na Ofisi ya Kamanda wa Usalama Barabarani kuanza utaratibu wa kuwafuata wateja waliko kuwapatia leseni za biashara na bodaboda.
 Komredi Kinana akipandisha bendera alipozindua tawi la CCM la Waendesha Bodaboda Mjini Magu.
 Komredi Kinana akizungumza katika mkutano wa Halmashauri ya CCM Wilaya ya Magu
 Kikundi cha ngoma za asili ya Mwanalyako kikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara mjini Magu.
 Kikundi cha sanaa cha Magu One Theather kikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM Mjini Magu.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Magu.
 Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Magu, mkoani Mwanza

 Komredi Kinana akibeba tofali alilolifyatua alipokwenda kukabidhi mashine  kwa vijana wafyatuaji matofali wa Ilungu katika Kata ya Nyigogo, wilayani Magu.

 Komredi Kinana akikagua nyumba iliyojengwa kwa matofali yanayofyatuliwa na kikundi cha vijana cha Ilungu katika Kata ya Nyigogo.

 Komredi Kinana akifunua pazia ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Jengo la CCM Tawi la Lugeye, Kitongosima wilayani Magu.

 Mhandisi wa Maji Wilaya ya Magu, Eng. Rutta Merchades akielezea kuhusu maendeleo ya Mradi wa Maji  katika Kata ya Nyanguge, wilayani Magu.

 Komredi Kinana akitoka kukagua mitambo ya kusukuma maji katika Kata ya Nyanguge, wilayani Magu.

 Mama mkazi wa Kata ya Nyanguge, akitwishwa  ndoo ya maji na Komredi Kinana aliyezindua mradi wa maji katika kata hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: