Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanya
mahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirika
la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

Michael Chilongani wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwafafanulia jambo wageni
waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwafafanulia
jambo wageni waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah
akibadilishana mawazo na wageni waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi itaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
akibadilishana mawazo na wageni waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi itaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Sophia Mwema wa Shirika la Nyumba la Taifa akibadilishana mawazo na mmojawapo
wa wageni waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za
makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar
es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu akijadiliana jambo na mwenzake kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Gibson Mwaigomole wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwafafanulia jambo wageni
waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
waliofika katika uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za
makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar
es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.
David Shambwe, Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara, David Shambwe akishuhudia
namna shughuli hiyo inavyoendelea. Picha zaidi za tukio hili tutawaletea.

---
Kwa mara nyingine tena Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo (Ijumaa, 6, Machi, 2015) limezindua rasmi mauzo ya nyumba katika mradi wake mpya wa Victoria, jijini Dar es Salaam. Mradi unatarajiwa kugharimu kiasi cha zaidi ya Sh 11 bilioni mpaka utakapomalizika.

Mradi huu upo Victoria Kijitonyama, takribani kilomita 7 kutoka Jijini Kati, una nyumba 127 za kuuzwa zilizopo kwenye majengo pacha ya ghorofa 13. Mradi huu uko sehemu yenye huduma zote muhimu za kijamii jijini Dar es Salaam zikiwamo za kiafya, shule, maduka, na masoko. Mbali na huduma katika ujirani, mradi wenyewe utakuwa na maeneo ya biashara katika ghorofa ya chini (ground floor) na ghorofa ya kwanza, ambapo tunatarajia kuwepo na huduma nyingine za kijamii kama vile “Supermarkets”, Migahawa n.k
Kadhalika, Mradi huu unatarajiwa kuboresha maisha ya wanunuzi wa nyumba hizi kwani umejikamilisha kwa huduma za wakazi, kwa kuwa na maeneo mawili ya mazoezi (gym), mabwawa ya kuogelea mawili (swimming pools) na eneo la watoto kuchezea. Zaidi ni kwamba, nyumba zipo ndani ya uzio kwa ajili ya usalama watumiaji na kuna maegesho ya magari ya kutosha.

Toa Maoni Yako:
0 comments: