Mgeni rasmi akikata ndafu.
Mwakilishi wa Bloggers akilishwa ndafu na mgeni rasmi Katika Mnuso huo.Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network, Ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo, iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.


Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga (wa pili kulia) akizungumza jambo na baadhi ya Wamiliki wa Blogs Tanzania,waliokutana pamoja leo kwa lengo la kufahamina na kuunganisha vyema umoja wao.

Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu, Kelvin Twissa akizungumza machache katika hafla hiyo. 

 Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini,Ankal Issa Michuzi akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja kwa baadhi ya Wanablog na wadhamini wa hafla hiyo.
 Faustine Ruta wa bukobasports blog katika ucanon wa Josephat Lukaza.

 Baadhi ya Bloggers wakiwa katika picha ya Pamoja.
 Serebuka Serebuka unaweza pendwa tena........
Ankal akiwa na Faustine Ruta na Crant wakati wa mnuso wa bloggers.
 Cheers

Staili inayotamba mjini...
Othman akiwa na mkewe.
Chinga One na Othman.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: