Je, unaweza kujitolea kusafisha mtaa wako , kuchimba mitaro ya maji, au hata kumsaidia mwenzako kujenga nyumba bila malipo? Bila shaka wakenya wengi wangeona ugumu kufanya hivyo kwani ni wazi kuwa wengi wetu tumejawa na ubinafsi na tamaa ya kupata hela. Lakini katika nchi ya Rwanda, serikali imefanikiwa kuwalazimisha wanyarwanda kushiriki katika kusafisha mitaa yao kila juma ya mwisho wa mwezi, kando na kushiriki katika shughuli zingine kwa nia ya kusaidia kuimarisha maisha ya wananchi wenzao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: