Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Komba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songea na umati mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Mwambungu, Mhe. John Nchimbi, Mbunge wa Songea Mjini, na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Mark Mwandosya, kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, mapema leo Machi 3, 2015.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: