Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose ofisini kwake, jijini Dar es salaam leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: