Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es Salaam leo walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghariv Bilali, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa pamoja na wafiwa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
Sehemu ya wafiwa na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: