Kaimu Kamishna Msaidizi Kitengo cha huduma kwa familia, watoto, malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Philbert Kawemama (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akifungua semina ya siku moja inayohusu watoto waishio katika mazingira hatarishi na kongamano la watoto hao litakalofanyika Februari 18 hadi 20 mwaka huu katika ukumbi wa Mwalimu J.K  Nyerere Convention Centre. Kushoto ni Kaimu Kamishna Msaidizi Huduma kwa Wazee na Watu wenye Ulemavu, Ernest Karubi.
 Kaimu Kamishna Msaidizi Huduma kwa Wazee na Watu wenye Ulemavu, Ernest Karubi akizungumza na wanahabari wakati akifunga semina hiyo.
 Ofisa Ustawi wa Jamii, Johnas Tarimo akitoa mada 
kuhusu mahabusu za watoto.
 Naibu Mkurugenzi wa Programu wa Shirika la Pact/Pamoja Tuwalee, Linda Madeleka (kushoto), akichangia mada katika semina hiyo.
 Ofisa wa Ustawi wa Jamii, Vailet Mollel  akifafanua mambo mbalimbali katika semina hiyo.
 Maofisa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa kwenye semina hiyo.
 Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: