Diamond Plutnamz akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM.
Diamond Plutnamz akiima pamoja na mwanamuziki Abdul Misambano wa kundi la TOT katika sherehe za miaka 38 ya CCM mjini Songea mchana huu.
Umati wa wananchi waliohudhuria katika uwanja huo 


HUYU NDIO KIBOKO YAOOOOOOOOOOOOOOOOOO TUNASUBIRI TUZO ZA KILI 2015
ReplyDelete