Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama yao. 
Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale, (kulia), wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa mama yao Twitikege Mafumu Mlagha, aliyefariki Desemba 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kuzikwa Desemba 17 nyumbani kwake Kijiji cha Kibumbe Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mapacha hao walizuru katika kaburi hilo jana.
Dotto Mwaibale (kulia), akimuelekeza jambo Kulwa wakati wakitoka kuzuru kaburi la mama yao. (Picha zote na Mkwinda Blog)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: