Mmoja wa maafisa kwenye ofisi ya kata ya Ubungo akiita majina ya kwenye vitambulisho ili kuwakabidhi wenyewe, jambo ambalo limelalamikiwa nakusema utaratibu huo ni mbovu kwani wengi wa wanaosomwa inakuwa hawajafika na kufanya zoezi hilo kuwa la muda mrefu.
Baadhi ya wananchi hao wakihangaika kutafuta majina yao kabla ya kuweka foleni kuchukua vitambulisho hivyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: