Mkurugenzi  wa makampuni ya  Asas  Bw  Salim Abri  Asas  kushoto akipokea cheti  maalum kutoka kwa kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Letici Warioba  baada ya  kuibuka  mshindi wa kwanza katika  ulipaji kodi mkoa wa Iringa leo
Salim Asas  akionyesha  cheti kwa wanahabari  baada ya  kukabidhiwa  cheti  hicho kwa kuwa mlipaji  kodi mzuri
Salim Asas akionyesha  cheti  cha ulipaji kodi bora 
Mzee Kaundama  akipokea  cheti
Meneja  wa TRA  Iringa Bi Mwenda akitoa maelezo ya  awali
Meza  kuu.
Mfanyabiashara  Kaundama akijitambulisha
Wanafunzi  wakiigiza  igizo la matumizi ya mashine ya EFDS
Wadau wa TRA  Iringa  wakiwa katika sherehe ya siku ya mlipa kodi
Baadhi ya  waalikwa wakishuhudia
Msanii Iringa akionyesha ujuzi wa kucheza na nyoka aina ya chatu
Wanafunzi wakihamasisha  ulipaji kodi
Watumishi wa TRA  Iringa  wakijadili jambo kabla ya  sherehe hiyo kuanza
Mgeni  rasmi katika  siku ya mlipa kodi mkoa wa Iringa Dr  Leticia  warioba kulia akimkabidhi cheti  mfanyabiashara  Salim Asas   kutoka makampuni ya usafirishaji mizigo   la Asas Transporters Co. Ltd  na  ile ya  usafilishaji wa mafuta ya  TransFuel Logistics Ltd  baada ya  kuongoza  kwa  ulipaji mzuri  wa  kodi kwa mwaka 2013 /2014
Mgeni  rasmi katika  siku ya mlipa kodi mkoa wa Iringa Dr  Leticia  warioba kulia akimkabidhi cheti  mfanyabiashara  Salim Asas   kutoka makampuni ya usafirishaji 
mizigo   la Asas Transporters Co. Ltd    na  ile ya   usafilishaji wa
mafuta ya  TransFuel Logistics Ltd  baada ya  kuongoza  kwa  ulipaji
mzuri  wa  kodi kwa mwaka 2013 /2014.
Mlipaji kodi mdogo Iringa Shakra  kiwanga akippongezwa kwa  ushindi wa  pili
Salim Asas  akihojiwa na  wanahabari  mkoani Iringa kuhusu  tuzo  mbili alkizopata kwa kuongoza katika ulipaji wa kodi mkoa wa Iringa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: