Hongera shemeji yangu Joseph Stima Ulaya kwa kuhitimu Shahada ya Falsafa na Sayansi ya Siasa katika mahafali ya tano ya Kikuu cha Dodoma yaliyofanyika jana Novemba 29, 2014. Sherehe za kuwapongeza zilifanyika eneo la Chimwaga.

 ...Akishow Love marafiki wenzake waliosoma pamoja.


Ilikuwa ni furaha kila kona.

 Pongezi.
Wakishow love mbele ya kamera ya Kajunason Blog. 
Hongera mwanadada nae alinyakuwa yake...
Na mimi Cathbert Angelo Kajuna mmliki wa Kajunason Blog niliwakilisha vyemaaa...


Mzee wa Mtaa kwa Mtaa, Swahiba wangu Othman Michuzi nae aliwakilisha.

Nikiwa na Mtoto wa Ankal Michuzi, Zahra nae alipokea nondo yake.

Akiweka kumbukumbu na marafiki.
Furaha.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin W. Mkapa akiongoza mahafali ya tano ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika leo katika eneo la Chimwaga, ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiwatunuku Shahada ya Uzamivu wahitimu mbali mbali katika Chuo Kikuu hicho cha Dodoma.
Wahitimu wa Shahada mbali mbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo.
shangwe kwa wahitimu hao.
Brass Band ya Jeshi la JKT ikiongoza Mahafali hayo.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akifunga mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dodoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: