Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.
Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa
ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa
ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya la Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhidini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi. Kulia kwake ni Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea kaburini
Askari wa JWTZ wakiwasili makaburini
Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili
makaburini
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili
makaburini
Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa mazishi
Askari wa JWTZ wakiwa tayari kutoa heshima za mwisho za Kijeshi pembeni mwa kaburi
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu
Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi
kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi
hazijaanza
Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi
kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi
hazijaanza
Sehemu ya waombolezaji
Waombolezaji katika mazishi
Umati mkubwa wa wananchi wa manispaa ya Moshi na sehemu
zingine wakiwa katika mazishi
zingine wakiwa katika mazishi
Mazishi
Sehemu ya wanahabari kwenye mazishi. Wa tatu toka kulia ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo kaburini
Dua baada ya maziko
Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa karibu
Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga
Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Msengi na Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa mizinga
"Last Post" ikipigwa
Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi jenerali Davis Mwamunyange akisoma salamu za rambirambi za JWTZ
Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya
Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa marehemu
Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa shukurani
Watoto wa marehemu wakifarijiana
Rais Kikwete akiwafariji watoto wa marehemu
Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu
Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu
Rais Kikwete akiwafariji familia ya
marehemu
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa
familia
familia
Rais Kikwete akiaga waombolezaji
Rais Kikwete akiagana na waombolezaji.
Rais Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg Nape Nnauye wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Rais Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: