Moja ya suala zuri katka maisha ya binadamu ni kumuomba Mungu, Katika pilikapilika za kajunason Blog ziliweza kuwanyaka wasanii Shilole na Izzo Buznes Wakisali kabla ya kupanda stejini jambo ambalo wengi wao walilifurahia kuona jinsi Mungu alivyo wa Muhimu katika jambo unalofanya.
Shilole akiwa na wacheza shoo wake wakichukua nafasi ya kuomba kabla hawajapanda stejini.
Msanii Izzo Buznes akisali kabla ya kupanda stejini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: