Moja ya tukio ambalo limenisikitisha ni ajali hii iliyowatokea rafiki zetu eneo la Same wakati wakielekea jijini Arusha. Nashindwa kuendelea kuandika maana machozi yananitoka kupoteza vijana wawili ambao walikuwa nguvu kazi ya taifa katika ajali ya lori na gari aina ya toyota Verossa lenye namba za usajili T539DBR. Madereva endelee kuwa makini mnapoendesha vyombo vya moto ajali haina kinga.



Zantel | Part of Etisalat





















 

 er


 




Zantel | Part of Etisalat












Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: