Jana Septemba 13, 2014 ndugu Bakari Kimwanga alifanya sherehe ya Hakika kwa ajili ya mwanae iliyofanyikia nyumbani kwa mama yake mzazi Magomeni jijini Dar.
 Watu waliohudhuria sherehe hiyo.
 Vijana wa madrasa wakifanya yao.
 Watoto wa New Habari nao walikuwepo kumsindikiza mwenzao.
 Mashosti nao hawakuwa nyuma kuja na mijizawadi.

Bakari Kimwanga (mwenye tisheti ya blue) akifurahia mara baada ya mtoto wake Hassan kuolewa nje. Aliyembeba mtoto ni Mama yake mzazi Bi. Rehema Bakari.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: