Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed  Shein  akifuatana na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dk Ikililou  Dhoinine baada ya  mazungumzo Ikulu Mjini Comoro jana, akiwa  katika  ziara ya kiserikali  na ujumbe aliofuatana nao.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Mawaziri mbali mbali wakati alipowasili katika   Ikulu  ya Comoro kwa mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo Dk. Ikililou Dhoinine jana akiwa katika ziara ya kiserikali.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr .Ikililou Dhoinine Ikulu Mjini Comoro jana, Dk. Shein yupo Comoro kwa ziara ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuatana nao.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dk. Ikililou Dhoinine (katikati) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na ujumbe wa Rais na  Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Comoro   Ikulu Mjini Comoro jana katika  ziara ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuatana nao. 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiteta na  mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dk Ikililou Dhoinine Ikulu Mjini Comoro jana, wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa ujumbe Serikali ya Mapinduzi ukiwa katika ziara Nchini Comoro. (Picha na Ramadhan Othman)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: