Una swali lolote kuhusiana na kampeni yetu kabambe ya Weka na Ushinde? Alhamisi tarehe 25 Septemba Bw. Boma Raballa Meneja Bidhaa wa NMB atakupa majibu yako! Kuwa naye Live kuanzia saa 08.00 mchana hadi saa 09.00 mchana kupata majibu ya moja kwa moja!

Tembelea kurasa yetu kupitia https://www.facebook.com/OfficialNMBTZ
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: