MSIKITI wa Mtambani uliopo Kinodnoni B, Jijini Dar es Salaam leo umeungua kwa moto ikiwa ni mara ya pili tokea ilipoungua Agosti 14, 2014.

Wakizungumza na Kajunason Blog mara baada ya kufika eneo la tukio, walisema moto huo ulianza majira ya saa 6 mchana ambapo waumini wa msikiti huo walikuwa wakijiandaa na suala ya ijumaa.

Chanzo cha moto huo ni hitlafu ya umeme iliyounguza gondoro na kuanza kuteketeza madawati. Japo katika ajali hiyo hakuna aliyeungua wala kujeruhiwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: