Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (katikati) akichangia mada iliyosema "The Fundamental Role of Education and Skills, addressing the Challenge of Youth Education"katika mdahalo maalumu uliofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia ambapo Mh Nassari alikuwa ni miongoni mwa wawasilishaji wa mada. Wengine ni Waziri Msaatfu wa Mambo ya nje wa Liberia na baadhi ya maofisa wa Benki ya Dunia ambapo Nassari pia alipata fursa ya kukutana na rais wa Benki ya Dunia kwa maswala ya Afrika.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: