Unaanzaje kukosa siku hii??? Ni kama Sikukuu Mpya imezaliwa... THE INSTAGRAM PARTY TANZANIA ALLSTARS... Watu woteee ambao umekuwa ukiwa-follow tu na kuwaona kwenye TV utakutana nao LIVE ndani ya ESCAPE 1 Jumamosi ya Tarehe 2... Unaanzaje kukosa??? Surprise appearance kutoka kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Mheshimiwa Jerry Silaa... Pembeni yake ni Mheshimiwa January Makamba... Huku Bilionea Davis Mosha, Mtanzania Pekee mwenye Lamborghini akiwa pembeni yako... Wapi kwingine utakutana na watu hawa na kupiga nao stori kama sio INSTAGRAM PARTY PEKEE??? 

Kama hiyo haitoshi,wale Mastaa uwapendao sana kuwafuatilia Mtandaoni,Diamond na Wema Sepetu,Kajala,Jacqueline Wolper,Lulu,Adam Mchomvu, Dj Fetty, B12, watoto wazuri kama Hamisa Mobeto, Maggie Vampire, Mastaa kama Martin Kadinda, Petit Man Wakuache, Dogo Janja, Chege, Ben Paul, Ay, Ommy Dimpoz, MwanaFA... Je Ungependa kushikana mkono LIVE na Mkude Simba???? NA HAO NI WACHACHE TU

Ni Tarehe 2.8.2014 ndani ya Escape 1 Mikocheni.

UKIKOSA HII BASI WEWE SIO MJANJA WA MJINI
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: