Wakuu wa wilaya.


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiweka Ngao na Mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo.


Mkuu wa kikosi cha 44KJ Mbalizi Luten Kanl Malatila akiweka sime kuwakumbuka mashujaa.

Meya wa Jiji la Mbeya Atanas Kapunga akiweka upinde na mshale.
Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya (92) akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa.
Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua.
Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali walitoa sala zao za kuwakumbuka mashujaa hao.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na Mzee Waya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na chifu wa mkoa wa Mbeya Chifu Mwashinga.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwsalimia wananchi wa mkoa wa mbeya waliohudhuria tukio hilo la kuwakumbuka mashujaa. Picha zote na Mbeya Yetu Blog.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: