Wakati bunge likiendelea na kujadili bajeti mjini Dodoma, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari yeye  ameonekana yupo busy anakula raha na mke wake ambaye alifunga nae ndoa weekend iliyopita jijini Arusha.

Hizo ni picha ambazo Mbunge Nassari akila raha na mkewe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: