Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo. 
  Rais Jakaya Kikwete akizindua tovuti kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.
Rais Jakaya Kikwete(wa tatu kulia) akizindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.Wengine kwa kwanza kulia ni Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Saidi, wa pili Waziri wa Fedha Saada Salum Mkuya na kushoto wa kwanza ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seid Ali Iddi wa pili ni Mwakilishi wa UNFPA Mariam Khan na watatu ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Picha zote na Magreth Kinabo na Maelezo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: