Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akitoa mada wakati wa semina kwa waandishi wa habari inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam ikihusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali va habari, Jarida hilo lilizinduliwa jana na Rais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu J. K. Nyerere International Conference jijini Dar es salaam Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa semina inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam Veronica Kazimoto Afisa uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi akielezea umuhimu wa Mahusiano katika ya waandishi wa habari na NBS katikamkuwaelimisha wananchi juu ya masuala ya Sensa ya wat na makazi. Veronica Kazimoto Afisa uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi akielekeza jambo katika semina hiyo juu ya umuhimu wa Mahusiano katika ya waandishi wa habari na NBS katikamkuwaelimisha wananchi juu ya masuala ya Sensa ya wat na makazi. Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na wataalamu katika semina hiyo.
Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akiwa katika semina hiyo pamoja na maafisa wengine wa Sensa ya watu na makazi
Toa Maoni Yako:
0 comments: