Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao ya Jamii nimekutana na neno toka kwa Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Flora Mbasha... 'Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. Maana dhiki yetu ni nyepesi iliyo ya muda kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana'. 2wakorintho 4:16
Home
Unlabelled
NENO TOKA KWA MWIMBAJI FLORA MBASHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Ovyo sana huyu dada...hana maana hatakidogo
ReplyDelete.