Taarifa zilizofikia dawati letu la habari, zinasema Muimbaji wa Nyimbo za Injili Deborah John Said Amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa amelazwa muda mrefu. 

Kajunason Blog inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba.

 Endelea kufuatilia hapa kwa taarifa zaidi.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: