Mbunge wa Kigoma, Mh. Zitto Kabwe akiwa na majonzi makubwa wakati mwili wa mama  yake mzazi ulipowasili tayari kwa kufanyiwa dua ili waendelee na maziko yaliyofayika Mjini Kigoma.
Mbunge wa Kigoma, Mh. Zitto Kabwe akisalimiana na watu waliokuja kumpa pole.
Mwili wa marehemu ukiwa umewasili nyumbani tayari kwa kuagwa na kusomewa dua.
Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari nyumbani na kusomewa dua.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: