Basi la New Force lenye namba ya usajili T 925 CGU lililokuwa likitokea Dar es Salaam limepata ajali eneo la Igurusi, Mbeya na kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi zaidi ya 40.

Akizungumza na Kajunason Blog mmoja ya wafanyakazi wa basi hilo walioko Mbeya mjini, walisema taarifa zilizofika ofisini kwao ni kuwa basi lao limepata ajali.

Wasomaji wa Kajunason Blog endeleeni kufuatilia tutawajuza zaidi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: