Moja ya kero zinazowakabili wakazi wa jiji la Dar es Salaam ni kunyesha kwa mvua ambapo wakazi wa jiji hilo hupata kero kubwa... maana kila sehemu hujaa maji.
 Barabara imejaa maji kila mahali.
 LImetumbukia kabisa majini.

 Jamaa baada ya kuona gari lake limeshatumbukia kwenye maji ikabidi atoke kuomba msaada.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: